wazy hemisphere

Tafadhali, Nipende(Please, Love me)

Tafadhali, Nipende(Please, Love me)

by Evelyne_Buc

(not enough ratings)

Kuwa na kila kitu kizuri kwenye maisha haimaanishi kuwa una furaha. Ed ni kijana mwenye mafanikio makubwa  akiwa na umri mdogo. Wengi waliyatamani maisha yake, na kwa sababu hiyo alikuwa ni role model kwa vijana wengi wenye ndoto ya kufanikiwa. Akiwa kijana mdogo alijiwekea malengo ya kutoyaleta mapenzi kabla ya wakati wake. Alitumia muda mwingi kuweka imara msingi wa biashara zilizomilikiwa na Simunge Group of Companies. Aliogopa kuyapa nafasi mapenzi wakati alikuwa na mengi ya kufanya. Hakutak…

MALAIKA WA UPENDO

MALAIKA WA UPENDO

by Salvatory

(not enough ratings)

Hapo mwanzo Mungu aliumba ulimwengu, akaumba mimea, wanyama, mito, mabonde akavibariki. Akamuumba mwanadamu kwa mfano na sura yake, aliwaumba mwanamke na mwanaume. Mungu akawabariki na kuwaambia "Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki" Mwanzo 1: 1 - 28.Katika amri ya kuujaza ulimwengu, Akamuumba malaika, Malaika wa Upendo. Yeye akaweka hisia ndani ya wanadamu, jukumu amepewa na mwenyezi Mungu. Malaika wa Upendo akawa ndiye kiongozi na msimamizi mkuu aliyepewa jukumu la kuhakikisha kila mmo…